Kiswahili Badiliko la mgogoro Cited by user Jackson Mujungu on 06 Aug 2022 Badiliko la mgogoro ni dhana iliyobuniwa ili kurejea namna mipango ya kujenga amani ilivyojadiliwa na kutekelezwa, hasa katika muktadha wa migogoro ya kikabila.