Kiswahili Lydia Katjita Cited by user MPEPE MAMLUKI on 28 Jun 2021 Lydia Katjita (amezaliwa Omatjete, Mkoa wa Erongo, Namibia, 15 Oktoba 1953) ni mjumbe wa zamani wa Bunge la Kitaifa la Namibia na Bunge la Afrika.