Kiswahili Ulevi Cited by user 216.239.45.130 on 18 Oct 2010 Ulevi au uraibu wa pombe ni ulemavu unaotokana na unywaji pombe bila udhibiti licha ya madhara yake kwa afya ya mnywaji, mahusiano na hadhi yake machoni pa jamii.